Kenya yaidhinisha chonjo za COVID-19 za China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 20, 2021

Jana ofisi mmoja alithibitisha kwa Shirika la Habari la China Xinhua kuwa, ili kuimarisha mapambano dhidi ya COVID-19 kwa ajili ya watu wenye hatari kubwa ya kuambukizwa, Kenya imeidhinisha chanjo za kampuni ya Sinopharm ya China.

Kiongozi wa Kikosi Kazi cha Chanjo za COVID-19 ya Wizara ya Afya Bw. Willis Akhwale alisema, Kamati ya dawa na dawa za kulevya ya Shirika la usimamizi wa matibabu la Kenya, imeidhinisha chanjo za kampuni ya Sinopharm. Chanjo za kampuni hiyo imeidhinishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kutumiwa kwa dharura ili kuchangia utoa wa chanjo unaoendelea hivi sasa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha