Mabaki ya kale yaliyofukuliwa kwenye Sanxingdui na Jinsha yawasilishwa kwenye maonesho ya mjini Hangzhou

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 17, 2021
Mabaki ya kale yaliyofukuliwa kwenye Sanxingdui na Jinsha yawasilishwa kwenye maonesho ya mjini Hangzhou
1

Hivi sasa, mabaki ya kale yaliyofukuliwa kwenye Sanxingdui na Jinsha yaliwasilishwa kwenye maonesho ya mjini Hangzhou . Habari zinasema kuwa, tarehe 17, Septemba, Jumba la Ukumbusho la mkoa wa Zhejiang liliandaa maonesho ya “Binadamu na Miungu——ustaarabu wa Shu ya kale wenye miujiza ”, ambapo Jumba la Ukumbusho la Sanxingdui na Jumba la Ukumbusho la Jinsha, Chengdu yalisaidia kuyaandaa maonesho hayo, ambayo yatafunguliwa kwenye Jumba la maonesho ya sanaa la Ziwa Xihu la Zhejiang lililoko kwenye eneo la Jumba la Ukumbusho la Gushan la Jumba la Ukubumsho la mkoa wa Zhejiang. (Picha zinatoka: IC Photo)

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha