Misri yafungua kituo cha vijana na watoto katika kila mkoa ili watu kudungwa chanjo ya virusi vya Corona

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2021
Misri yafungua kituo cha vijana na watoto katika kila mkoa ili watu kudungwa chanjo ya virusi vya Corona
Septemba 26,2021, daktari alimdungia chanjo mwanaume mmoja katika kituo cha vijana na watoto cha Rod El Farag mjini Cairo, Misri.

Jumapili, Misri ilifungua kituo cha vijana na watoto katika kila mkoa ili watu waweze kudungwa chanjo ya virusi vya Corona na kuhimiza kampeni yake ya kudunga chanjo. (Shirika la Habari la China Xinhua/Ahmed Gomaa)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha