Timu ya “Agosti mosi” ya maonesho ya urukaji wa ndege kwenye anga yafanya mazoezi murua huko Zhuhai, Guangdong

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 28, 2021
Timu ya “Agosti mosi” ya maonesho ya urukaji wa ndege kwenye anga yafanya mazoezi murua huko Zhuhai, Guangdong

Maonesho ya 13 ya kimataifa ya usafiri wa ndege na safari kwenye anga ya juu ya China yatafanyika kuanzia Septemba 28 hadi Oktoba 3 katika mji wa Zhuhai. Tarehe 26, timu ya “Agosti mosi” ya maonesho ya urukaji wa ndege ilifanya mazoezi murua ya kwanza ambayo yalifuatiliwa na vyombo vya habari na wapiga picha.

Mpiga picha Zhou GuoQiang (picha zilitokwa tovuti ya picha za umma.)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha