Mandhari ya majira ya mpukuliko ya Jiuzhaigou huko Aba ya Sichuan yavutia sana

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 09, 2021
Mandhari ya majira ya mpukuliko ya Jiuzhaigou huko Aba ya Sichuan yavutia sana

Katika wakati wa likizo ya Sikukuu ya Taifa, sehemu ya kupendeza ya Jiuzhaigou huko Aba mkoani Sichuan imeingia kwenye majira ya mpukuliko, mandhari yake nzuri ni kama picha za kuchorwa ambayo imevutia watalii wengi kwenda huko kutembelea.

Xue Jun/Tovuti ya picha za umma

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha