Maonesho ya mtindo wa mavazi yafanyika kwenye shamba la pamba Xinjiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 13, 2021
Maonesho ya mtindo wa mavazi yafanyika kwenye shamba la pamba Xinjiang, China

Tarehe 10, Oktoba, mnada wa kwanza wa pamba bora ulioandaliwa na Shirikisho la Sekta ya Pamba la China (CCIA) ulifanyika kwenye eneo la teknolojia ya kilimo ya kitaifa ya Changji, mkoa wa Xinjiang. Wakati huo huo, maonesho murua ya mtindo wa mavazi yanafanyika kwenye shamba la pamba.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha