Kunming: Majumba ya COP15 yafunguliwa bure kwa watu kuanzia leo

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 19, 2021
Kunming: Majumba ya COP15 yafunguliwa bure kwa watu kuanzia leo
(Picha zinatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Tarehe 18, Oktoba, majumba yaliyofanyia kikao cha kwanza cha Mkutano wa 15 wa Pande zilizosaini "Mkataba wa Anuwai ya Viumbe" wa UN (COP15), yaani jumba No. 7 (jumba kuu), jumba No. 5 (jumba lenye sifa ya Yunnan) na jumba la kuingilia la Kusini la Kituo cha Mkutano cha Kimataifa cha Dianchi, Kunming yamefunguliwa bure kwa watu hadi tarehe 7, Novemba ili waje kutembelea.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha