Botswana yaanza Kutoa Dozi ya Kuongeza Kinga ya Chanjo dhidi ya UVIKO-19

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 18, 2022
Botswana yaanza Kutoa Dozi ya Kuongeza Kinga ya Chanjo dhidi ya UVIKO-19
Mwanamke akidungwa dozi ya kuongeza kinga ya chanjo dhidi ya UVIKO-19 huko Gaborone, Botswana Januari 17, 2022. Botswana ilianza kutoa huduma ya kudunga dozi ya kuongeza kinga ya chanjo dhidi ya UVIKO-19 kuanzia Jumatatu ya wiki hii. (Picha imepigwa na Tshekiso Tebalo/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha