Kampuni ya China yajenga Mradi wa Gati la Mafuta kusaidia maendeleo ya uchumi wa Kenya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 25, 2022

Gati la Mafuta la Mombasa, Kenya. Picha ilipigwa Januari 6, Mwaka 2022.

Ujenzi wa Mradi wa Gati la Mafuta la Mombasa, Kenya lililojengwa na kampuni ya China umekamilika juzijuzi, na gati hilo linatazamiwa kuzinduliwa Mwezi Mei mwaka huu. Kama mradi muhimu kwa Kenya, baada ya ujenzi wa mradi huo kukamilika, uwezo wa kusafirisha mafuta na gesi katika gati la Mombasa utaongezeka kwa kiasi kikubwa na kuingiza msukumo katika maendeleo ya uchumi wa Kenya na hata kwa kanda zima ya Afrika Mashariki.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha