Maisha Mapya ya Watu wa Yingxiu Katika Miaka 14 Iliyopita Baada ya Tetemeko la Ardhi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 13, 2022
Maisha Mapya ya Watu wa Yingxiu Katika Miaka 14 Iliyopita Baada ya Tetemeko la Ardhi
Picha iliyopigwa Mei 12 ikionesha Mji wa Yingxiu wa Wilaya ya Wenchuan, Mkoani Sichuan. (Picha na droni)

Siku hiyo ni kumbukumbu ya miaka 14 ya tetemeko la ardhi la Wenchuan, na waandishi wa habari walirudi Mji wa Yingxiu, Wilaya ya Wenchuan ambao ulikuwa kitovu cha tetemeko la ardhi ili kurekodi maisha mapya ya watu wa mji huo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha