Madagaska yaadhimisha miaka 62 tangu ipate uhuru wake

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 27, 2022
Madagaska yaadhimisha miaka 62 tangu ipate uhuru wake
Wanajeshi wa Madagaska wakionyesha sanaa ya kungfu wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 62 tangu nchi hiyo ipate uhuru huko Antananarivo, Mji Mkuu wa Madagaska, Tarehe 26 Juni 2022. Madagaska siku ya Jumapili iliadhimisha kumbukumbu ya miaka 62 tangu ipate uhuru wake. (Xinhua/Ling Xin)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha