Habari Picha: Mandhari ya Ziwa Yamdrok katika Mji wa Shannan, Mkoa wa Tibet, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 04, 2022
Habari Picha: Mandhari ya Ziwa Yamdrok katika Mji wa Shannan, Mkoa wa Tibet, China
Picha iliyopigwa Julai 2, 2022 ikionyesha mandhari ya mashamba ya maua ya cole karibu na Ziwa Yamdrok katika Eneo la Nagarze, Mji wa Shannan, Mkoa unaojiendesha wa Tibet nchini China. (Xinhua/Sun Fei)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha