Daktari wa Ikulu ya Marekani asema matokeo ya upimaji wa virusi vya korona wa Rais Biden yamebadilika kuwa ya kawaida

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 28, 2022

Julai 27, Rais wa Marekani Biden akihudhuria kwenye shughuli katika Ikulu ya Marekani. (Xinhua)

Daktari wa Ikulu ya Marekani Kevin O'Connor alisema tarehe 27 kuwa, matokeo ya upimaji wa virusi vya korona wa Rais Biden yamebadilika kuwa ya kawaida, na Rais Biden atamaliza kutengwa.

Ikulu ya Marekani ilitoa habari asubuhi ya tarehe 21 kuwa Rais Biden alionekana kuwa na dalili chache za kuambukizwa virusi vya korona.

Julai 27, Rais wa Marekani Biden akihudhuria kwenye shughuli katika Ikulu ya Marekani. (Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha