Tanzania yasisitiza kuunga mkono kithabiti sera ya kuwepo kwa China Moja

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2022

Agosti 4, Twitter rasmi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania ilitoa taarifa ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Mulamula, akisema kuwa Tanzania inafuata kwa uthabiti kanuni za mawasiliano kati ya pande mbili za China na Tanzania, na kauli zao za pamoja ikiwemo sera ya kuwepo kwa China moja, na inaona kuwa Taiwan ni sehemu isiyoweza kutengwa ya China, na siku zote itaunga mkono maslahi makuu ya China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha