Sungura wa Ochotona iliensis wa aina ya viumbe vilivyoko hatarini kutoweka agunduliwa huko Jinghe, Xinjiang

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2022
Sungura wa Ochotona iliensis wa aina ya viumbe vilivyoko hatarini  kutoweka agunduliwa huko Jinghe, Xinjiang
Agosti 7, 2022, wakati watu wanaojitolea wa timu ya kulinda Sungura wa Ochotona iliensis walipofanya kazi ya kulinda na kufuatilia Sungura wa aina hii katika Wilaya ya Jinghe ya Mkoa wa Xinjiang waligundua sungura wa aina hii na kupiga picha yake.

Sungura wa Ochotona iliensis ni aina maalum ya viumbe wanaoishi nchini China, pia ni viumbe walioko hatarini kutoweka duniani. (Mpiga picha:Tian Xiangdong/Tovuti ya Picha ya Umma)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha