Watu zaidi ya 10,000 wathibitishwa kuambukizwa virusi vya Monkeypox Marekani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2022
Watu zaidi ya 10,000 wathibitishwa kuambukizwa virusi vya Monkeypox  Marekani
Agosti 11, mwanamume akidungwa chanjo dhidi ya virusi vya Monkeypox katika kituo kimoja cha udungaji huko Los Angeles, Marekani. (Picha na CFP)

Takwimu mpya zilizotolewa na Kituo cha udhibiti na kinga cha maradhi cha Marekani Tarehe 10 zilionesha kuwa idadi ya watu waliothibitishwa kuambukizwa virusi vya Monkeypox imefika 10392, ambayo ni nyingi zaidi kuliko nchi nyingine duniani, na serikali yake imekosolewa na pande nyingi kutokana na hatua zake zisizo za madhubuti.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha