Mlipuko watokea Jerusalem

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 24, 2022
Mlipuko watokea Jerusalem
Tarehe 23, Novemba, polisi wa Israeli wakifanya uchunguzi kwenye sehemu iliyotokewa na mlipuko huko Jerusalem.

Polisi wa Israeli tarehe 23 walisema, matukio mawili mfululizo ya mlipuko yalitokea katika Jerusalem asubuhi ya siku hiyo, yakisababisha vifo vya zaidi ya mtu mmoja, na wengine 18 kujeruhiwa. (Picha zinatoka Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha