Pilikapilika ya ujenzi wa mradi wa Daraja la Jinzhou la Guizhou

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2022
Pilikapilika ya ujenzi wa mradi wa Daraja la Jinzhou la Guizhou
Tarehe 4, Desemba, wafanyakazi wa Kampuni ya Sita ya Uhandisi ya Barabara ya Guizhou wakifanya kazi kwenye boriti ya mnara mkuu wa No.22 wa Daraja la Jinzhou.

Siku hiyo, Daraja la Jinzhou linalojengwa na Kampuni ya Barabara ya Guizhou limemalizika kazi ya ujenzi wa mnara mkuu. daraja la Jinzhou ni barabara ya kasi linalounganisha Mji wa Xingyi na Eneo Jipya la Yilong la sehemu ya kusini magharibi mwa mkoa wa Guizhou, urefu wake wa jumla ni mita 1600 na linapangiwa kuzinduliwa Oktoba Mwaka 2023. (Mpiga picha: Taoliang/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha