人民网首页

Maoni

Ushirikiano wa BRICS uliopanuliwa kutoa mchango mkubwa zaidi katika usimamizi wa dunia, asema mjumbe wa China

Washiriki wa Baraza la BRICS juu ya Ushirikiano kuhusu Mapinduzi Mapya ya Viwanda 2024 wakiwa kwenye picha ya kundi mjini Xiamen, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China, Septemba 10, 2024. (Xinhua/Lin Shanchuan) MOSCOW - Ushirikiano uliopanuliwa wa BRICS utatoa mchango mkubwa zaidi katika kuboresha mfumo wa usimamizi wa dunia, amesema Balozi wa China nchini Russia Zhang Hanhui katika mahojiano maalum na Shirika la Habari la China, Xinhua kabla ya Mkutano wa 16 wa Viongozi wa BRICS uliopangwa kuanza leo Oktoba 22 hadi 24 mjini Kazan, Russia akisema kuwa mkutano huo ni wa kwanza kwa viongozi wa BRICS kufanyika nje ya mtandao tangu upanuzi wa kundi hilo.

“Kazi ya uongozi ya China inahimiza mfumo wa ushirikiano kati ya nchi za BRICS kuendeleza”—Mahojiano na mtaalamu wa Afrika Kusini Roboji wa masuala ya BRICS

"China inafanya kazi muhimu katika kuhimiza kukamilisha mfumo wa ushirikiano wa BRICS siku hadi siku, kutetea usawa na haki na ushirikiano wa pande nyingi. Kazi ya uongozi ya China inahimiza kuendeleza mfumo wa ushirikiano kati ya nchi za BRICS.

1