人民网首页

Miundombinu

Hii ni Bustani ya Michezo ya Olimpiki ya majira ya Baridi ya Beijing.

Mahali palipokuwa eneo la Kiwanda cha Chuma cha Mji Mkuu Beijing pamekuwa Bustani ya Michezo ya Olimpiki

Tarehe 26, Oktaba, wakati zimebaki siku 100 kabla ya Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing, Bustani ya Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing yalifunguliwa rasmi. Mjini Beijing kutafanyika kwa michezo miwili ya Olimpiki, sasa kumekuwa na bustani mbili za Michezo ya Olimpiki—Bustani ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing na Bustani ya Michezo ya Olimpiki ya Beijing, ambazo zinatia rangi nzuri kwa Beijing.

Iliyopita1 2 3 4