Anne akiwa mkoani Xinjiang: Kuonja mvinyo wa Turpan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 27, 2021

(picha zinatoka:Tovuti ya Gazeti la Umma)

Kutokana na hali ya hewa ya ukame na jua kali, Mji wa Turpan wa Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur ulioko kaskazini magharibi nchini China, ni maarufu kwa bidhaa zilizotengenezwa kwa zabibu. Kwa sababu ya wingi wa zabibu, mji huu unazingatia kuendeleza uzalishaji wake wa mvinyo.

Serikali ya mji wa Turpan ilisema, hadi kufikia mwaka 2023, mji huo unatarajia kuwa na viwanda vidogo vidogo vya mvinyo vipatavyo 100, na mapato ya uzalishaji kufika Yuan bilioni 10 hadi mwaka 2025. Tuambatane na Anne kuonja mvinyo wa Turpan!

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha