

Lugha Nyingine
Waziri wa Utamaduni wa Misri atangaza mpango wa Maonyesho ya 52 ya Vitabu ya Kimataifa ya Cairo
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2021
Tarehe 22, Juni, waziri wa utamaduni wa Misri Abdel Daim alitangaza, Maonyesho ya 52 ya Vitabu ya Kimataifa ya Cairo yatafanika kuanzia Juni 30 hadi Julai 15, na kauli mbiu ya maonyesho hayo ni "Kusoma ndiyo maisha".
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma