Forodha: Thamani ya jumla ya uagizaji bidhaa na uuzaji bidhaa wa China katika nusu ya kwanza ya mwaka huu ilifikia Yuan trilioni 18.07

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 14, 2021

(Picha ilitoka tovuti ya Chinadaily.)

Tarehe 13, takwimu kutoka Idara Kuu ya Forodha ya China zimesema, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, thamani ya jumla ya kuagiza bidhaa na kuuza bidhaa nje ya China ilifikia Yuan trilioni 18.07, ambayo iliongezeka kwa asilimia 27.1 ikilinganishwa na wakati kama huo wa mwaka jana. Kwa miezi 13 mfululizo, biashara za China na nje zilikuwa zimeongezeka kwa hatua madhubuti zikilinganishwa na mwaka jana.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha