Tume ya Maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing yafanya shughuli za Kumbukumbu ya Siku 200 zinazobaki kabla ya kuanza kwa Michezo ya Olimpiki ya walemavu ya majira ya baridi ya Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 19, 2021
Tume ya Maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing yafanya shughuli za Kumbukumbu ya Siku 200 zinazobaki kabla ya kuanza kwa Michezo ya Olimpiki ya walemavu ya majira ya baridi ya Beijing
(Picha ilitoka tovuti rasmi ya Tume ya Maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing)

Tarehe 16, Agosti, shughuli za “Kujiunga na Kunufaika” za kumbukumbu ya Siku 200 zinazobaki kabla ya kuanza kwa Michezo ya Olimpiki ya walemavu ya majira ya baridi ya Beijing zilifanyika kwenye eneo la ofisi za Shougang za Tume ya maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing, shughuli hizo zilionesha matokea ya kazi ya mafunzo kwa umma kuhusu Michezo ya Olimpiki ya walemavu hasa mafunzo hayo kwa vijana na watoto.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha