Lugha Nyingine
Aina nane maarufu zaidi za maua ya Yunnan
hakika kuna moja inayokushangaza zaidi (Picha)
Maua ya Camellia

Maua ya Camellia ya Tengchong. Picha ilipigwa na Bi Zheng
Maua ya Magnolia

Maua ya Yulania denudata ya Changning. Picha ilipigwa na Wu Zaizhong
Maua ya Rhododendron

Maua ya Rhododendron yanachanua vizuri mlimani Cangshan, huko Dali, Mkoa wa Yunnan. Picha ilipigwa na Yang Jipei
Maua ya Homocodon brevipes

Maua ya Homocodon brevipes yanaonesha majira ya mchipuko yanawadia . Picha ilipigwa na Chen Juntong
Maua ya Lilium

Maua ya Lilium ya Baoxing. Picha ilipigwa na Deng Tao
Maua ya Meconopsis

Maua ya Meconopsis kwenye Milima ya Hengduan. Picha ilipigwa na Peng Jiansheng.
Maua ya Orchidaceae

Maua ya Orchidaceae yanachanua huko Weixi. Picha ilipigwa na Shi Yucheng.
Maua ya Gentiana

Maua ya Gentiana yenye petali sita. Picha ilipigwa na Peng Jiansheng.
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



