Shanghai: Lambalamba ya jengo maarufu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2021

Katika siku za hivi karibuni, kumebuniwa lambalamba moja inayofanana kwa muonekano na umbo la jengo maarufu la Wukang linalopatikana Jiji la Shanghai. Lambalamba hiyo ambayo imejipatia umaarufu mkubwa inawafanya watu kuhisi baridi na pia kujua utamaduni wa kihistoria wa Shanghai. (Picha imepigwa hivi karibuni na mwandishi wa habari Chen Aiping)

Lambalamba ya “jengo la Wukang” na jengo la Wukang (picha ilipigwa tarehe 31, Agosti). Picha ilipigwa na mwandishi wa habari Chen Aiping.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha