Msimu wa kutembeza bidhaa za Afrika wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika la 2021 waanzishwa Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 08, 2021

Hafla ya kutangaza moja kwa moja "Msimu wa kutembeza bidhaa za Afrika za biashara kwenye mtandao wa intaneti wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika la 2021 pamoja na maonesho ya“Bidhaa za kitaifa zinazong’ara duniani kote”ulifanyika Beijing tarehe 6.

Upande wa waandaalizi ulisema, shughuli hizo zililenga kufuata mkutano mpya wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika utakaofanyika nchini Senegal mwishoni mwa 2021, na kutumai kupitia fursa hii kujenga jukwaa jipya la ushirikiano kati ya wafanyabiashara wa China na Afrika, ili kuhimiza ushirikiano wa uchumi wa kitarakimu na kuongeza njia za aina mbalimbali za biashara kati ya China na Afrika.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha