Wito wa Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi na Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya majira ya baridi ya Beijing ya mwaka 2022 watolewa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 18, 2021

“Twendeni pamoja siku za baadaye”!

“Together for a Shared Future”!

Septemba, 17, Beijing, Jumba la Makumbusho la Mji Mkuu.

Wakati wa siku zinazobaki 140 kabla ya Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi na Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya majira ya baridi ya Beijing, wito wa michezo hiyo ya Olimpiki ya mwaka 2022 umetolewa.

Maneno ya Kichina ya wito huu ni machache lakini yana nguvu kubwa kabisa. Nguvu hiyo inawaita watu wote wa dunia nzima wenye rangi tofauti, kabila tofauti na dini tofauti waelekee pamoja siku za baadaye chini ya bendera ya Olimpiki. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha