Chombo cha Shenzhou No. 13 cha kubeba binadamu kwenye safari ya anga ya juu chatazamiwa kurushwa alfajiri ya tarehe 16

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 15, 2021
Chombo cha Shenzhou No. 13 cha kubeba binadamu kwenye safari ya anga ya juu chatazamiwa kurushwa alfajiri ya tarehe 16
Ofisi ya mradi wa kubeba binadamu kwenye safari ya anga ya juu ya China ilitoa habari zikisema, makao makuu ya jukumu la usafiri wa kipindi ya kituo kwenye anga ya juu yameamua kuwa, wanaanga watatu, Zhai Zhigang(wa katikati), Wang Yaping(wa kulia), na Ye Guangfu watatekeleza jukumu la Chombo cha Shenzhou No. 13 cha kubeba binadamu kwenye safari ya anga ya juu, na Zhai Zhigang awe kamamda wa kutoa amri. Habari kutoka Shirika la Habari la China Xinhua

Makao makuu ya jukumu la usafiri wa kipindi ya kituo kwenye anga ya juu yameamua kuwa, Chombo cha Shenzhou No. 13 cha kubeba binadamu kwenye safari ya anga ya juu kitarushwa alfajiri ya tarehe 16, saa 6 na dakika 23 ya saa za Beijing.

Zhai Zhigang ni mwanaanga ambaye alikuwa wa kwanza kutoka nje ya chombo kilichokuwa kwenye safari ya anga ya juu, Wang Yaping aliwahi kutekeleza jukumu la Chombo cha Shenzhou No. 12 cha kubeba binadamu kwenye safari ya anga ya juu, na hii ni mara ya kwanza kwa mwanaanga Ye Guangfu kutekeleza jukumu hilo.

Wanaanga hao watakaa kwenye anga ya juu kwa miezi sita, huu ni muda mrefu zaidi kukaa kwenye anga ya juu kuliko hapo kabla kwa wanaanga wa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha