Mvua kubwa iliyonyesha katika Jimbo la Uttarakhand la kaskazini mwa India yasababisha vifo vya watu 16

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 20, 2021

(Picha inatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Hii ni hali ya mafuriko kwenye jimbo la Uttarakhand la kaskazini mwa India tarehe 19, Oktoba.

Siku hizi sehemu nyingi za India zilikumbwa na mvua kubwa iliyonyesha bila kusita. Ikifuata mafuriko ya jimbo la Kerala la kusini mwa India, mafuriko na maporomoko ya ardhi pia yalitokea kwenye jimbo la Uttarakhand la kaskazini mwa nchi hiyo kutokana na mvua kubwa. Maafa hayo yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 16.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha