

Lugha Nyingine
Katibu Mkuu wa UN akubali mwaliko wa kushiriki kwenye Sherehe za Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 10, 2021
Stephane Dujarric, Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. António Guterres amesema Alhamisi ya Wiki hii kwamba Katibu Mkuu Guterres amepokea na kukubali mwaliko wa Kamati ya Kimataifa ya Michezo ya Olimpiki (IOC) wa kushiriki kwenye sherehe za Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing ya Mwaka 2022.
Bw. Stephane Dujarric amethibitisha habari hiyo kwenye mkutano na waandishi wa habari wa Desemba 9.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma