

Lugha Nyingine
Ujumbe wa wanamichezo wa Michezo ya Olimpiki kutoka China Bara washerehekea pamoja na watu wa Macau
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 21, 2021
Wajumbe wa ujumbe wa wanamichezo wa Michezo ya Olimpiki kutoka China Bara, Li Wenwen, Hou Zhihui, Wang Zhouyu, Shi Zhiyong, Lv Xiaojun wakicheza ngoma ya joka kwenye shughuli hiyo Desemba 20 mwaka huu.
Mwanamichezo Su Bingtian (katikati) akishiriki kwenye shughuli hiyo.
wanamichezo Li Fabin na Shen Lijun wakishiriki kwenye shughuli hiyo.
Siku hiyo, Ujumbe wa wanamichezo wa Michezo ya Olimpiki kutoka China Bara walishiriki kwenye shughuli ya “ Fahari yetu Macau—kwa Wanamichezo Hodari wa Kitaifa wa Michezo ya Olimpiki” katika Uwanja wa Michezo ya Asia Mashariki wa Macau na kufanya maingiliano na watu wa Macau.
Mpiga picha: Jia Haocheng (mwandishi wa habari wa Shirika la Habari la China, Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma