Msomi wa Tanzania atoa salamu za mwaka mpya wa kichina na kuitakia mafanikio Michezo ya Olimpiki ya Beijing

(CRI Online) Januari 27, 2022

Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa China katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania Prof. Humphrey Moshi ametuma salamu kwa njia ya video, akiwatakia wachina heri ya mwaka mpya wa jadi wa kichina na kuitakia mafanikio Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing, na pia kuuombea urafiki kati ya Tanzania na China udumu!

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha