Mbio za kukimbiza mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing zaanza

(CRI Online) Februari 04, 2022

(Picha inatoka CRI.)

Mbio za kukimbiza Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing zimeanza rasmi tarehe 2 asubuhi saa tatu katika uwanja wa Bustani ya Kusini ya Hifadhi ya Misitu ya Olimpiki ya Beijing.

Habari zinasema, wakimbiza mwenge 135 watamaliza mbio za umbali wa kilomita 10.6 kwenye bustani hiyo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha