

Lugha Nyingine
Msichana wa Xinjiang Dinigeer aliyewasha mwenge kuu wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi: Natarajia kupata mafanikio mapya
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 05, 2022
Februari 4, Sherehe ya ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ilifanyika Beijing. Kwenye hafla ya kuwasha mwenge kuu, mwanamichezo wa kuteleza kwenye theluji wa ujumbe wa michezo ya China Dinigeer pamoja na mwanamichezo wa michezo miwili ya Nordic Zhao Jiawen wakiwa wapokea wa mwisho wa mwenge waliwasha mwenge kuu wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing. Msichana huyo kutoka Mkoa wa Xinjiang alizaliwa mwaka 2001 Dinigeer, lengo lake la kushiriki kwa mara ya kwanza kwenye Michezo ya Olimpiki ni kupata mafanikio mapya kwenye historia yake. Tutarajie apate mafanikio kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma