Mjumbe wa Bunge la Umma la China (NPC) aonyesha mfano wa kuigwa kwa vijana kwa kuinua kiwango cha ujuzi wa kiufundi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 10, 2022

Wajumbe wa Bunge la Umma la China (NPC) na wajumbe wa Baraza la Mashauriano ya Kisiana la China (CPPCC) wakiendelea kufanya kazi zao za kawaida, pia wanajitahidi kuwasilisha maoni ya watu kwenye “Mikutano Mikuu Miwili” ya mwaka ya China. Juhudi zao za kubeba majukumu kadiri wawezavyo zinasifiwa sana na watu.

Fundi wa mashine wa Kampuni ya Hangxing Machinery ya Beijing Song Yubiao alisema, mwalimu wake, Dai Tianfang, ambaye ni fundi mkuu wa kiwanda chake na mjumbe wa Bunge la Umma amekuwa mfano wa kuigwa kwa vijana. Siku zote Dai anafanya kazi kwa jitihada kubwa ili kupata maendeleo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha