China yafaulu kurusha satelaiti ya Gaofen No.12 03

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2022

Saa 5:46 usiku wa tarehe 27, Juni China ilifaulu kurusha satelaiti ya Gaofen No.12 03 kwa maroketi ya Changzheng No.4 C kutoka kituo cha kurusha satelaiti ya Jiuquan. Satelaiti hiyo imeingia vizuri kwenye obiti iliyopangiwa katika anga ya juu na kazi hii ya kurusha satelaiti imepata mafanikio mazuri. (Picha na Wang Jiangbo/Xinhua)

Saa 5:46 usiku wa tarehe 27, Juni China ilifaulu kurusha satelaiti ya Gaofen No.12 03 kwa maroketi ya Changzheng No.4 C kutoka kituo cha kurusha satelaiti ya Jiuquan. Satelaiti hiyo imeingia vizuri kwenye obiti iliyopangiwa katika anga ya juu na kazi hii ya kurusha satelaiti imepata mafanikio mazuri.

Satelaiti hiyo inatumika zaidi katika kazi mbalimbali za uchuguzi wa kawaida wa ardhi ya nchi, mipango ya miji, uhakikishaji wa umiliki wa ardhi, usanifu wa mfumo wa barabara na makadiro ya uzalishaji wa mazao ya kilimo.

Kazi hii ni safari ya 425 kwa maroketi ya Changzheng ya kubeba satelaiti kwenye anga ya juu. 

Saa 5:46 usiku wa tarehe 27, Juni China ilifaulu kurusha satelaiti ya Gaofen No.12 03 kwa maroketi ya Changzheng No.4 C kutoka kituo cha kurusha satelaiti ya Jiuquan. Satelaiti hiyo imeingia vizuri kwenye obiti iliyopangiwa katika anga ya juu na kazi hii ya kurusha satelaiti imepata mafanikio mazuri. (Picha na Wang Jiangbo/Xinhua)

Saa 5:46 usiku wa tarehe 27, Juni China ilifaulu kurusha satelaiti ya Gaofen No.12 03 kwa maroketi ya Changzheng No.4 C kutoka kituo cha kurusha satelaiti ya Jiuquan. Satelaiti hiyo imeingia vizuri kwenye obiti iliyopangiwa katika anga ya juu na kazi hii ya kurusha satelaiti imepata mafanikio mazuri. (Picha na Wang Jiangbo/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha