Makutano ya Kihistoria Kati ya Muziki wa Kisasa na Ala za Jadi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2022

Wapiga muziki wanaovaa mavazi ya kikale ya kupendeza ya China, wanapiga muziki wa kisasa uitwao “Jasiri Pekee” kwa aina tisa za ala za muziki za jadi za China, ala hizo za jadi zinapiga midundo ya kuvutia na kupendwa zaidi na watu kwa hivi sasa nchini China. Utamaduni wa kale unaendelea kung’ara katika mashariki ya dunia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha