

Lugha Nyingine
Ujenzi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme kinachojengwa kwa msaada wa China wakaribia kukamilika
Julai 21, 2022, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema akitoa hotuba baada ya kutembelea kwenye Kituo cha Kuzalisha Umeme kwa nishati ya maji cha Kafue Lower Gorge kinachojengwa kwa msaada wa China katika Mkoa wa Kusini wa Zambia.
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema alisema kuwa mradi huo umefungua ukurasa mpya wa uhusiano kati ya nchi hizo mbili.
Ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme kwa nishati ya maji ambacho uwezo wake wa uzalishaji ni kilowatisaa laki 7.5 unakaribia kukamilika, mashine nne kati ya tano za kuzalisha umeme zimeanza kutumika na maishine ya tano itakamilika mwishoni mwa mwaka huu. (Picha na Martin Mbangweta/Xinhua)
Picha iliyopigwa Julai 22,2022 ikionesha Kituo cha Kuzalisha Umeme kwa nishati ya maji cha Kafue Lower Gorge kinachojengwa katika Mkoa wa Kusini, Zambia.
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma