

Lugha Nyingine
Wastani wa ongezeko la pato la taifa la China kwa mwaka wafikia asilimia 6.6 katika miaka 10 iliyopita
(CRI Online) Septemba 19, 2022
Idara ya Takwimu ya Kitaifa ya China siku za karibuni ilitoa ripoti ikisema, kuanzia mwaka 2013 hadi 2021, pato la taifa la China (GDP) limeongezeka kwa wastani wa asilimia 6.6 kila mwaka, na kuchangia zaidi ya asilimia 30 ya ongezeko la uchumi wa dunia.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma