Ripoti ya Mkutano Mkuu wa 20 wa wajumbe wote wa CPC yakusanya maoni ya watu zaidi ya 4,700

(CRI Online) Oktoba 16, 2022

Msemaji wa Mkutano Mkuu wa 20 wa wajumbe wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Sun Yeli amesema Jumamosi hapa Beijing kwamba, ripoti itakayotolewa kwenye mkutano huo unaofanyika leo Jumapili Oktoba 16 imekusanya maoni ya watu zaidi ya 4,700.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha