Mwangwi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 19, 2022

“Bila Chama cha Kikomunisiti, kusingeakuwa na China Mpya.”

Sauti inasikika duniani,pia imepata mwitikio wa zama hizi.

Hakuna nchi nyingine yoyote duniani itakuwa kama China inavyofanya kutoa msaada bila ubinafsi kwa nchi zinazoendelea.

Pendekezo lililotolewa na rais Xi kuhusu Maendeleo ya Dunia linahusiana moja kwa moja na Maendeleo ya Binadamu.

Wakati dunia inapokuwa na wasiwasi kuhusu swali la "Jambo gani limetokea?", "Sauti ya China" inatoa jibu.

Wakati dunia inapofikiria swali la "Binadamu wanatakiwa kufanya nini?", "Pendekezo la China" linajumuisha maoni ya pamoja.

Wakati muziki uitwao "kuwa pamoja kwenye dhiki na furaha " unapopigwa , "nguvu ya China" inaonyesha wajibu wake.

Miongo kadhaa iliyopita imeshuhudia juhudi zisizolegalega za China, na kufungua ukurasa unaong'ara wa zama hizi.

Sasa, binadamu wote wanaishi katika jumuiya moja yenye mustakabali wa pamoja, wanashirikiana kukabiliana na changamoto na kusaidiana. Tukifanya juhudi kwa pamoja, ndiyo tunajitahidi kwa ajili ya dunia kupata manufaa makubwa zaidi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha