Semina ya mafunzo na hafla ya kukabidhiwa bendera kabla ya kufunga safari kwenda DRC kwa kikundi cha 21 cha madaktari wa China yafanyika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 05, 2023

Tarehe 3, Januari, kwenye mkoa wa Hebei, China, kikundi cha 21 cha madaktari wa China cha kutoa huduma za matibabu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kilishiriki kwenye semina ya mafunzo na hafla ya kukabidhiwa bendera ya taifa kabla ya kufunga safari yao. Mkoa wa Hebei umepeleka vikundi 21 vya madaktari kwa DRC kuanzia mwaka 1973, na kwa jumla kuna watu 545 wametoa huduma za matibabu nchini humo. Picha ikionesha madaktari na wauguzi wa kikundi hicho. (Picha na Zhai Yujia/ChinaNews)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha