Hohhot: Ikolojia inayovutia sana yaonyesha maendeleo ya hali ya juu ya kijani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 13, 2023

Katika kipindi hiki cha “Hadithi za Miji”, tumefika Hohhot, mji mkuu wa Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani wa China. Tutakupeleka ili utazame ikolojia yake ya kuvutia ya kijani, kwenda kupata sababu zilizo nyuma ya mnyororo wa viwanda vya akili bandia ambavyo ni sekta kuu ya mji huo, na kuonja baadhi ya vyakula na vitafunio bora vya eneo hilo. Njoo kwenye "bustani hii ya kijani " na ukutane na "watunza bustani" wake wenye shauku kwa safari ya kusisimua katika mazingira ya asili na utamaduni.

Mji wa kijani, wacha turuke ndani yake!

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha