Rais Mnangagwa wa Zimbabwe akutana na mwenzake wa Belarus Lukashenko mjini Harare

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 01, 2023

Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko (mbele kushoto), akiwa na Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa (kulia), akikagua gwaride la heshima baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Gabriel Mugabe mjini Harare, Zimbabwe Januari 30, 2023. (Picha na Shaun Jusa/Xinhua)

Picha hii ikimwonesha Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa (kulia), na Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Robert Gabriel Mugabe mjini Harare, Zimbabwe Januari 30, 2023. (Picha na Shaun Jusa/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha