Shamrashamra Yazidi kwa Kukaribisha Sikukuu ya Taa za Kijadi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 03, 2023

Usiku wa Tarehe Mosi, Februari, wasanii kwenye jamii wakicheza ngoma ya kijadi ya Huizhou ya Dragon iliyotengenezwa kwa vipande vya mbao vya viti kwenye Uwanja wa Zhuangyuan Xiuning wa Mji wa Huangshan wa Mkoa wa Anhui.

Mosi, Februari, watoto wakichukua taa nyekundu za jadi kutembelea kwenye Maonyesho ya Taa za Kijadi katika Mji Mdogo wa Kuanxin wa Eneo la Ziwa Xiannv la Mji wa Xinyu wa Mkoa wa Jiangxi.

Mosi, Februari, mtoto akicheza kwenye Maonyesho ya Taa za Kijadi katika Mji Mdogo wa Kuanxin wa Eneo la Mto Xiannv la Mji wa Xinyu wa Mkoa wa Jiangxi.

Sikukuu ya Taa za Kijadi inapokaribia, watu wa sehemu mbalimbali walishiriki kwenye shughuli mbalimbali za mila na desturi wakihisi hali ya shamrashamra ya kukaribisha sikukuu hiyo.(Picha na Xinhua)

 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha