Kujenga “Ukanda Mmoja, Njia moja”, Kufanya Ushirikiano wa Kunufaishana Sehemu ya 1: Njia kamili ya muunganisho na ushirikiano wa kunufaishana

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 16, 2023

"Asante, China." "Asante, Pendekezo la Ukanda na Njia." Maneno haya ya dhati ya shukrani yaliyotolewa na raia wa kigeni kuhusu Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI) katika video hii yanaonyesha maboresho ya kweli na yenye maana kwa maisha ya watu wa nchi mbalimbali duniani zinazoshiriki katika BRI. Tazama video hii ili kuona namna BRI ilivyoboresha hali ya usafiri katika nchi za nje kupitia ujenzi wa reli, treni za chini ya ardhi, barabara kuu na barabara za vijijini, pamoja na simulizi nyingine za mafanikio ya BRI.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha