Kujenga “Ukanda Mmoja, Njia moja”, Kufanya Ushirikiano wa Kunufaishana Sehemu ya 2: Ushirikiano wa Nishati Waleta Ustawi wa Pamoja

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 20, 2023

Ushirikiano wa nishati unafanya kazi muhimu katika kuimarisha mafungamano chini ya Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja”. Wahandishi wa China na wenzao wa nchi mbalimbali walifanya juhudi kubwa na kuwapa watu kumbukumbu zisizoweza kusahauliwa katika kutekeleza miradi ya nishati bila kuchafua mazingira, wamepanda mbegu za kunufaishana ili kupata maendeleo kwa pamoja kwa China na nchi zilizoko kwenye “Ukanda Mmoja, Njia moja”. Pia miradi hiyo imewaletea wenyeji nafasi za ajira, inafuata jukumu na moyo wa Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” na kujenga njia ya kutafuta ustawi na maendeleo kwa pamoja.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha