

Lugha Nyingine
Simulizi ya mjumbe wa Bunge la Umma la China: kuhimiza mageuzi ya kijani ya viwanda vya jadi na maendeleo ya kiwango cha juu
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 28, 2023
Wen Fei ni fundi kwenye karakana ya pili ya tanuri ya kuyeyusha chuma ya Kampuni ya Chuma ya Fangda Anyuan Pingxiangpinggang ambaye pia ni mjumbe wa Bunge la Umma la 13 na 14 la China.
Akiwa mfanyakazi wa chuma, yeye anafuatilia sana ulinzi wa mazingira, na kusaidia kampuni kujenga viwanda vya mtindo wa utalii wa misitu ya ikolojia na kuanzisha eneo la daraja la 3A la kitaifa la vivutio vya utalii.
Wakati huo huo, amekuwa akitembelea viwanda mbalibmali ili kusimamia ujenzi wa miradi ya utoaji wa hewa chache kabisa ya kaboni na miradi ya kuzalisha umeme katika makampuni, akihimia kazi za kufikia "kilele cha kaboni" na "uwiano sawa wa kaboni" kwa hatua madhubuti, na kusaidia maendeleo ya sifa bora ya viwanda vya jadi.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma