

Lugha Nyingine
Mkutano na Waandishi wa Habari wa Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China kufanyika Tarehe 4, Machi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 03, 2023
Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China utafanya mkutano na waandishi wa habari Jumamosi saa 6 mchana (kwa saa za Beijing) Tarehe 4, Machi kwenye ukumbi wa habari wa Jumba la Mikutano ya Umma, ambapo msemaji wa mkutano huo atajibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari wa China na wa nchi mbalimbali kuhusu ajenda ya mkutano huo na kazi za Bunge la Umma la China.
Siku hiyo Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) litatangaza moja kwa moja hali ya mkutano huo, huku tovuti ya China itatangaza moja kwa moja kwa kupitia picha na maandishi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma